RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Balozi Monica Juma, alipowasili
katika viwanja vya Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi kuhudhuria
Mkutano wa Kimataifa wa Sustainable Blue Economy) (Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati
wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa kuhusiana na Uchumi Endelevu wa
Bahari (Sustainable Blue Economy Conference ) uliofanyika katika ukumbi wa Kmataifa
wa mikutano wa Kenyatta, akiwasilisha Tamko la Serikala ya Jamuhuri ya
Muungano, akimuwakilisha.
RAIS
wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya
Mhe. Uhuru Kenyatta akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Uchumi Endelevu wa
Bahari (Sustainable Blue Economy Conference) uliofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya leo 26/11/2018 na
kuwashirikisha Marais mbalimbali wa Nchi za Afrika.(Picha na Ikuklu)
BAADHI
ya Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa Unaozungumzia Uchumi Endelelevu wa Bahari
(Sustainable Blue Economy Conference) uliofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa
Kimataifa wa Kanyatta Jijini Nairobi Kenya, leo 26/11/2018. Wakati Rais
wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia
Mkutano huo akitowa Tamko la Serikali ya Jamuhuri ya Muungano, akimuwakilisha
Rais wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Magufuli.(Picha na Ikulu)
BRASS
Band ya Jeshi la Polisi Kenya ikitumbuiza wakati wa hafla hiyo ya Mkutano wa
Uchumi Endelevu wa Habari, katika viwanja vya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa Kenyatta Jijini Nairobi leo,26/11/2018.(Picha na Ikulu)
BAADHI
ya Washiriki kutoka Nchini mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa
Mkutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi
kuhudhuria Mkutano wa Uchumi Endelevu wa Bahari.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment