Kaimu
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge
(katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
akitangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First”
yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam, kulia ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa
Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase na kushoto ni Katibu Msaidizi wa
Chama cha Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala.
Mwakilishi
Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw.
Toshio Nagase akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa kutangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First”
yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam, katikati ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la
Taifa (BMT), Alex Mkenyenge na kushoto ni Katibu Msaidizi wa Chama cha
Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala.
Katibu
Msaidizi wa Chama cha Riadha nchini (RT) Bi. Ombeni Zavala akisisitiza jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza mashindano ya
riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe
24-25 Novemba katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katikati ni Kaimu
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge na
kulia ni ni Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa
ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza
Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa Taasisi ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Japan (JICA) Bw. Toshio Nagase (wa pili toka
kushoto) wakati wa kutangaza mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa
“Ladies First” yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24-25 Novemba katika uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM- Dar es Salaam.
Picha na WHUSM- Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment