WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWAD LOWASA, AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SENGA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akizungumza na Aliyekuwa mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa (kushoto) wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mpigapicha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga, katika Viwanja vya Vatican Sinza, Dar es Salaam, jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe na Mjumbe wa chama hicho,Khamis Mgeja. Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe,akizungumza katika viwanja hivyo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Joseph Senga Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe,akizungumza katika viwanja hivyo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Joseph Senga Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akitoa salamu za pole kwa niaba ya serikali katika viwanja vya Vatican Sinza Dar es Salaam,leo Mbunge wa Jimbo la Sumve,Richard Ndasa,akitoa heshima za mwisho Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe...