Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus
Sabas, katikati akiwa amenyanyua silaha aina ya AK 47 zilizopatikana katika
Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu iliyofanyika kuanzia Octoba mwaka huu
mpaka Novemba mwaka huu katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus
Sabas, katikati akiwa amenyanyua Bomu moja (1) la kurushwa kwa mkono (Hand
Grenade – Defensive) lililoko mkono wa kulia na milipuko mingine iitwayo
Explosive – Gel V6 iliyokamatwa katika Operesheni maalum ya kupambana na
uhalifu iliyofanyika kuanzia Octoba mwaka huu mpaka Novemba mwaka huu katika
mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Mkuu
wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus
Sabas, katikati akionyesha mbolea aina Ammonium Nitrate na
Potassium Nitrate zinazotumika kutengenezea milipuko mbalimbali, mbolea hizo
zilipatikana katika Operesheni maalum ya kupambana na uhalifu iliyofanyika
kuanzia Octoba mwaka huu mpaka Novemba mwaka huu katika mikoa ya Mtwara, Lindi
na Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment