Posts

Showing posts from December, 2016

RC. PWANI ATOA SIKU 30 WAFUGAJI WALIOHAMIA MKOANI HUMO KUONDOKA.

Image
Mkuu wa mkoa  wa Pwani,  Mhandisi Everist Ndikilo, akizungumza katika mkutano  wa hadhara uliofanyika kijiji cha Kitonga, kata ya Vigwaza, Halmashauriya Chalinze wilayani Bagamoyo.   Mkuu wa mkoa   wa   Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo, akizungumza na wananchi katika mkutano huo,   waliokaa chini, wa kwanza   kulia   ni   Diwani   wa   kata ya Vigwaza, Muhsini   Baruani, na   wa pili ni   Mbu nge wa   Jimbo   la Chalinze,   Ridhiwani   Kikwete . ................................. Mkuu wa mkoa wa   Pwani Mhandisi   Everist Ndikilo, ametoa siku   30   kwa wafugaji waliohamia mkoani humo kuondoka baada ya kushamiri kwa migogoro ya wafugaji na wakulima. Kauli hiyo aliitoa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika kijiji cha   Kitonga kata ya Vigwaza katika Halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo. Alisema Serikali haiwezi kufum bia macho   ikiona ...