Posts

Showing posts from June, 2021

MADIWANI WA BAGAMOYO WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MJINI DODOMA.

Image
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bgamoyo, Mohamed Usinga akiongoza msafara wa Madiwani wa Halmashauri hiyo kutembelea ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa ukaribisho maalum wa Mbunge wa Bagamoyo, Muharam Mkenge.   Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallaah Ulega, nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya Madiwani hao kutembelea bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge. Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya madiwani hao kutembelea Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge.   Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge. (kulia) akitoa akiwatambulisha wageni wake (Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo) kwa Wawaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lu...

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA OFISI YA BENKI KUU YA TANZANIA TAWI LA MWANZA

Image
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, Waziri wa Madini Doto Biteko, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.