Posts

Showing posts from October, 2021

JK. AFUNGA RASMI TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO.

Image
  Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza waandaaji wa Tamasha la 40 la kimataifa la sanaa na utamaduni   kwa kuweka utaratibu wa kuwatembeza wageni kwenye vivutio mbalimbali ikiwemo historia ya mji wa Bagamoyo.   Dkt. Jakaya alitoa pongezi hizo wakati wa kufunga Tamasha la 40 la kimataifa la sanaa na utamaduni Tarehe 30 Oktoba 2021, katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ambapo alisema historia ya Bagamoyo ni kubwa sana na wananchi wa ndani na nje ya Bagamoyo, na   wageni kutoka nje ya nchi wanapaswa kuijua historia hiyo.   Alisema kutokana na umuhimu wa historia ya Bagamoyo, imempelekea Rais Samia Suluhu Hassan kufika Bagamoyo wakati wa maandalizi ya filamu ya Royal tour na kwamba hiyo ni heshima kubwa kwa Bagamoyo ambapo wizara husika inapaswa kuendelea kuielezea historia ya Bagamoyo kwa wageni.   Aliongeza kwa kusema kuwa, ili wageni waweze kuvutiwa kusikiliza na kuelewa historia hiyo, ni...

MATOKEO DARASA LA SABA 2021 HAYA HAPA

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2021 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU SONGWE

MAGAZETI YA LEO TAREHE 30 OKTOBA 2021.

Image
 

TaSUBa KUWA CHUO CHA KIMATAIFA CHA SANAA NA UTAMADUNI.

Image
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa akifungua Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Tamaduni Bagamoyo lililofanyika Usiku wa kuamkia  Oktoba 28 hadi 30, 2021 katika viwanja vya Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TASUBA) mjini Bagamoyo. .........................................   Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema wizara yake imekusudia kukibadilisha chuo cha TaSUBa kilichopo Bagamoyo kuwa ni chuo cha Sanaa na Utamaduni cha kimataifa, ili kwenda sambamba na dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukuza na kuendeleza Sanaa na Utamaduni hapa nchini.   Waziri Bashungwa ameyasema hayo mjini Bagamoyo katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBa) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la 40 la kimataifa la sanaa na utamaduni ambalo limeanza Tarehe 28 Oktoba 2021 litakalodumu kwa muda wa siku tatu hadi 30 Oktoba 2021.   Alisema kutakuwa na maboresho makubwa yatakayofanyika katika chuo cha TaSUBa...