Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa
barabara Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93 iliyojengwa kwa kiwango cha lami
wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira(katikati),
Meya wa Manispaa ya Moshi Ndugu Raymond Mboya (kulia) Mkuu wa Wilaya ya
Moshi Ndugu Kippi Warioba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
Selemani Jafo (kushoto).Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya
kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara
ya Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93 iliyopo Moshi Manispaa. Makamu wa Rais
yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za
maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Moshi Ndugu Raymond Mboya wakati wa kuweka
jiwe la msingi la ufunguzi wa barabara ya Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93,
wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira(katikati),Mkuu
wa Wilaya ya Moshi Ndugu Kippi Warioba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Selemani Jafo (kushoto).
Makamu
wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli
za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment