MAKAMU WA RAIS AFUNGUA UKUMBI WA MIHADHARA NA BWENI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha, (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya kazi za wanafunzi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Balozi wa Nchini Mhe. Elisabeth Jacobsen, Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo mara baada ya kukagua Bweni jipya la wanafunzi wa kike 150  waati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadharaa na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Bweni jipya la Wanafunzi wa Kike litakalochukua wanafunzi 150 kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Dkt. Ezekiel Mwakalukwa wakati wa hafla ya ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 
muonekano wa majengo ya Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, arusha, (Picha na Mpiga picha wetu Arusha)


Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU