Posts

Showing posts from September, 2017

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AMPA ONYO MUWEKEZAJI CHAURU, WILAYANI BAGAMOYO.

Image
Naibu Waziri wa kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mh. Tate Wiliamu Ole nasha,mwenye shati la draft akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Ruvu, (CHAURU)Sadala Chacha, (kushoto), Kulia mwenye miwani ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj, majid Mwanga, wakati naibu waziri huyo alipotembelea mashamba ya kilimo cha umwagiliaji cha mpunga Ruvu jana Tarehe 29 Septemba 2017. Naibu Waziri wa kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mh. Tate Wiliamu Ole nasha,mwenye shati la draft akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Ruvu, (CHAURU)Sadala Chacha, (kushoto), Kushoto kwa Naibu waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj, majid Mwanga, na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu, wakati Naibu waziri huyo alipotembelea mashamba ya kilimo cha umwagiliaji cha mpunga Ruvu jana Tarehe 29 Septemba 2017. ..........................  Naibu Waziri wa kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mh. Tate Wiliamu Ole nasha, amemtaka muwekezaji wa raia wa China Guo Mi...

MAADHIMISHO YA 87 YA SIKU YA TAIFA LA SAUDI ARABIA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza kwa niaba ya Serikali ya Tanzania wakati wa maadhimisho ya siku ya 87 ya Taifa la Kifalme la Saudi Arabia yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Prof. Maghembe alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo. Kulia ni Balozi wa taifa hilo nchini Tanzania, Balozi Mohammed Bin Mansour Al Malik.   Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (katikati), Balozi wa Saudi Arabia nchini, Mohammed Bin Mansour Al Malik (wa pili kulia) na viongozi wengine wa ubalozi huo wakijiandaa kukata keki ya maadhimisho hayo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (wa tatu kushoto), Balozi wa Saudi Arabia nchini, Mohammed Bin Mansour Al Malik (katikati) na viongozi wengine wa ubalozi huo wakikata keki ya maadhimisho hayo. Baadhi ya watoto wa Taifa la Kifalme la Saudi Arabia wakiinua bendera ya nchi hiyo kuashiria maadhimisho ya siku ya 87 ya Taifa hilo yaliy...