MAHAKAMA MPYA YA WILAYA BAGAMOYO YAZINDULIWA.
Muonekano wa mbele wa Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamisi Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo ambalo limejengwa Kitongoji cha Ukuni kata ya Dunda. Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamisi Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) wakipeana mikono baada ya kuzindua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo ambalo limejengwa Kitongoji cha Ukuni kata ya Dunda. Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamisi Juma (katikati) akizungumza katika uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo. ............................................ Huduma za Mahakama katika ngazi mbalimbali hapa nchini bado haziwafikii wananchi zaidi milioni 25 kutokana na changamoto mbalim...