Posts

Showing posts from December, 2021

MAHAFALI YEMEN DYCCC 2021 WAZAZI WAASWA.

Image
 

SUBIRA MGALU AKABIDHI MATOFALI NIANJEMA NA MAPINGA

Image
    MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa pwani, Subira Hamisi Mgalu (kulia) akimkabidhi Diwani wa kata ya Nianjema, Abdul Mzee Pyalla matofali kwaajili ya ujenzi wa choo katika shule ya mpya ya sekondari inayojengwa katika kata ya Nianjema Halamshauri ya Bagamoyo. .........................................................   MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa pwani, Subira Hamisi Mgalu, ametoa Tofali 350 kusaidia ujenzi wa vyoo katika shule mpya za kata zinazojengwa Kata ya Nianjema na Mapinga zilizopo Halmashauri ya Bagamoyo   Mkoani humo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi Tofali hizo akiwa kata ya Nianjema Halmashauri ya Bagamoyo, Mgalu alisema anamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani kwa kutenga fedha kwa kila Halimashauri ili zitumike kujenga vyumba vya madarasa ambapo kwa kata za Nianjema na Napinga zimetumika kujenga shule mpya za kata ambazo hapo awali hazikuwepo. Aliongeza kwa kusema kuwa licha ya fedha hizo zilizotolewa kwaajili ya...