KIKAO CHA MAANDALIZI YA UNUNUZI KOROSHO


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Naibu
Mawaziri, Makatibu Wakuu, baadhi ya watendaji wa Serikali na Wakurugenzi wa
mabenki na CBT jijini Dodoma Novemba 10.2018, kujadili maandalizi ya ununuzi wa
korosho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment