Posts

Showing posts from October, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA,APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS UHURU KENYATA

Image
Rais Dkt John Pombe Magufuli, akilakiwa na Mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta alipokaribishwa Ikulu, Nairobi nchini Kenya leo. Rais Magufuli yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais Dkt John Pombe Magufuli (kulia) akiwa na Mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakipokea salamu za kijeshi, katika viwanja vya Ikulu ya Kenya, Jijini Nairobi leo. Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyeji wake, Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta, alipowasili Ikulu ya Kenya, Jijini Nairobi leo. Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya, Mh. Willam Ruto.

DC. BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ZAHANATI ZA KEREGE NA MAPINGA PAMOJA NA SHULE YA MSNGI MTAMBANI, WALIMU WATORO, MANESI WATORO KUSHUGHULIKIWA.

Image
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh.   Majidi Mwanga, akiwa na mtoto aliyefika   Kliniki katika Zahanati ya   Mapin ga mapema hii leo, ambapo   mtoto huyo alizawadiwa shilingi elfu   kumi na mkuu wa wilaya. Kulia ni Daktari wa Zahanati ya   Mapinga, Shabani akielezea baadhi ya changamoto   zilizopo katika zahanati hiyo mapema hii leo mara mkuu   wa wilaya alipotembelea ghaflaili kubaini watumishi   watoro na kuangalia utoaji wa huduma kwa ujumla. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majidi Mwanga akipata   maelezo kutoka kwa Nesi wa zahanati ya Mapinga mapema hii   leo alipotembelea ghafla. Daktari Shabani wa Zahanati ya Mapinga akimuonyesha   mipaka ya zahanati hiyo mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majidi Mwanga mara   alipotembelea ghafla katika zahanati hiyo mapema hii   leo Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akiwa katika Zahanati ya   Kerege mapema hii leo mara   alipof...