Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu
(katikati), akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya
Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika
Bungeni, jijini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan
Kailima.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Marlin Komba (kulia) wakifurahia jambo na Mkurugenzi wa Sera na Mipango
wa Wizara hiyo, Wanja Mtawazo, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika
Bungeni, jijini Dodoma leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kulia),
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt.
Arnold Kihaule, wakati walipokua wanatoka katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, jijini Dodoma
leo.
No comments:
Post a Comment