Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mh. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha African Dragon kata ya Zinga
wilayani Bagamoyo.
Kiwanda hicho kinazalisha malighafi za mabati ya
kuezekea.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha African Dragon ambacho kinatengeneza malighafi za kutengenezea mabati ya kuezekea Mr. Shi Li Xiong akisoma Taarifa ya kiwanda hicho mbele ya Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha African Dragon, Mr. Shi Li Xiong akikabidhi Taarifa yake kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja mkuu wa kiwanda cha African Dragon, Mr. Shi Li Xiong (kulia) anaesikiliza katikati ni Meneja wa mauzo wa kiwanda hicho, Mr. Andrew.
Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa mara alipowasili wilayani Bagamoyo kuanza ziara ya kikazi mkoa wa Pwani.
Viongozi wa CCM wilaya wakiwa kwenye shughuli hiyo
Wafanayakazi wa kiwanda cha African Dragon
Hizi ndio malighafi zinazozalishwa kiwandani
hapo.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi alioambana nao pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha
African Dragon kilichopo kata ya Zinga Bagamoyo, kutoka kulia wa kwanza ni Mkuu wa wilaya ya BagamoyoZainabu Kawawa, wa pili ni wa tatu ni Meneja Mkuu wa kiwanda cha African Dragon na kutoka kushoto ni Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa, wa pili ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditie na watatu ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evaristi Ndikilo.
No comments:
Post a Comment