Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa kufungua rasmi Tamasha la
kimataifa la Sanaa Bagamoyo linaloendelea ndani ya Taasisi ya Sanaa na
Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ikiwa ni Tamasha la 37.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Zainabu Kawawa katika Ukumbi wa TaSUBa leo Tarehe 20 Oktoba 2018.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Bagamoyo (DAS) Hamza Amri Athumani, na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Dkt. Herbert Makoye.
Kikundi cha Sanaa kutoka nchini Finland kikionesha
ufundi wake ndani ya jukwaa la TaSUBa mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe.
Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia
ufunguzi wa Tamasha la 37 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment