Kamati ya Utendaji iliyokutana
Jumamosi Oktoba 20,2018 Makao Makuu ya TFF Karume, Ilala ilipitia masuala
mbalimbali ikiwemo kuchagua wajumbe wa kamati ya Uchaguzi, Kamati ya Nidhamu na
Rufaa Maadili.
Pia Kamati ya Utendaji imepitisha
tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF wa mwaka ambao unatarajiwa kufanyika Jijini
Arusha Disemba 29,2018
Mkutano huo unafanyika kwa mujibu
wa Katiba ya TFF na umepata siku 60 za kutangazwa kabla ya kufanyika katika
kikao hicho cha Kamati ya Utendaji kimepitisha mabadiliko madogo kwenye kamati
ndogo ndogo za TFF.
Mabadiliko hayo yametokana na
baadhi ya Wajumbe kujiuzulu na Wajumbe wengine kukabiliwa na majukumu mengi.
MABADILIKO YA KAMATI ZA TFF
YAPO HAPA CHINI
KAMATI YA UCHAGUZI.
1.MALANGWE ALLY -Mwenyekiti
2.Mh . MOHAMED
MCHENGELA -M/Kiti
3.BENJAMINI KARUME
– Mjumbe
4.MOHAMED GOMBATI –
Mjumbe
5/HAMISI ZAYUMBA – Mjumbe
KAMATI YA NIDHAMU
1.KIOMONI KIBAMBA –
Mwenyekiti
2.PETER HELLA – M/Mkiti
3.KASSIM DAU – Mjumbe
4. HANDLEY MATWENGA – Mjumbe
5. TWAHA MTENGERA – Mjumbe
KAMATI YA RUFAA MAADILI
1.RICHARD MBARUKU – Mwenyekiti
2.THADEUS KARUA -M/Kiti
3.MH . MUSSA ZUNGU -Mjumbe
4.ASP BENEDICT NYAGABONA-Mjumbe
5.LUGANO HOSEA -Mjumbe
No comments:
Post a Comment