HAJI MANARA ATEULIWA KUWA BALOZI WA ASAS DIARIES LIMITED

Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akimkabidhi tuzo maalum ya Ubalozi wa Badhaa za kampuni hiyo Bw. Haji Manara katika mkutamno uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Food Point Namanga jijini Dar es salaam ambapo atakuwa balozi wa kipindi cha miaka miwili.
Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akimkabidhi tuzo maalum ya Ubalozi wa Badhaa za kampuni hiyo Bw. Haji Manara katika mkutamno uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Food Point Namanga jijini Dar es salaam, Kushoto ni Fahad Hamoud Meneja wa Usafirishaji Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED.

Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akimkabidhi begi lenye vifaa mbalimbali  Bw. Haji Manara ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa bidhaa za kampuni hiyo katika mkutamno uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Food Point Namanga jijini Dar es salaam, Kushoto ni Fahad Hamoud Meneja wa Usafirishaji Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED.

Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akimkabidhi tuzo maalum ya Ubalozi wa Badhaa za kampuni hiyo Bw. Haji Manara katika mkutamno uliofanyika leo kwenye mgahawa wa Food Point Namanga jijini Dar es salaam, Kushoto ni Fahad Hamoud Meneja wa Usafirishaji Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED na kulia ni Meneja wa Haji Manara Beatrice Ndung’u.

Haji Manara akizungumza kabla ya kukabidhiwa ubalozi huo

Meneja Masoko wa Kampuni ya ASAS DIARIES LIMITED Bw. Jimmy Kiwelu akizungumza katika mkutano huo kushoto ni Balozi wa bidhaa za ASAS DIARIES LIMITED Bw. Haji Manara na kulia ni Meneja wa Haji Manara Bi. Beatrice Ndung’u.

Meneja wa Haji Manara Bi. Beatrice Ndung’u. akizungumza machache mara baada ya mteja wake Haji Manara kukabidhiwa rasmi ubalozi wa bidhaa za ASAS DIARIES LIMITED.


Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU