Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wanunuzi wa zao la Korosho katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam na kutoa msimamo wa Serikali kuhusu bei ya Korosho
kuwa isipungue shilingi 3000 kwa kilo moja.
Wadau na Wanunuzi wa Korosho wakiwa wanasikiliza Maelekezo ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokutana
nao na kuzungumza nao jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment