RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE IKULU.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018
Picha na IKULU.
Comments
Post a Comment