Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo
kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana
(katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha
Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea
kiwanda hicho Novemba 1, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia
wananchi wa kijiji cha Soni wilayani Lushoto akiwa katika ziara ya mkoa
wa Tanga, Novemba 1, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo
kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana
(katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha
Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea
kiwanda hicho Novemba 1, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama
usindikaji wa maziwa wakati alipotembelea kwanda cha Maziwa cha Tanga Fresh cha
jijini Tanga, Novemba 1, 2018. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage, watatu kushoto ni Meneja Ufundi wa kiwanda hicho,
Adam Gamba na wanne kukhoto ni Meneja Mkuu wa kiwanda, Michael Karata. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment