Waumbe wa Kamati ya Bajeti wakijadili Taarifa
za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020 na Mwongozo
wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2019/20 – 2021/22 kataika
Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti
Mheshimiwa George Simbachawene akielezea jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa
ikijadili Taarifa za Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka
2019/2020 na Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha
2019/20 – 2021/22 katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa
Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango.
No comments:
Post a Comment