Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla akikagua gwaride la heshima la askari wa jeshi USU alipokwenda
kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu
wilayani Karatu mkoani ARUSHA.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla akikabidhi cheti cha kuhitimu mmoja wa watumishi wa Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro aliyepatiwa mafunzo ya Jeshi USU wakati wa hafla ya kufunga
mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani
Karatu mkoani ARUSHA.
Askari wa Jeshi USU waliohitimu mafunzo
wakipita kwa ukakamavu mbele ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.
Askari wa Jeshi USU waliohitimu mafunzo
wakionesha uwezo wao wa kufuangua silaha na kuifunga ndani ya muda mfupi
wakati wa hafla ya kufunga mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani ARUSHA.
Askari wa Jeshi USU kikosi maalum
wakionesha uwezo wao wa kukabiliana na majangili wakati wa hafla ya kufunga
mafuzo ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Mbulumbulu wilayani
Karatu mkoani ARUSHA.
PICHA – Aron Msigwa –WMU, Arusha.
No comments:
Post a Comment