RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA YAKE MZAZI BIBI. SUZANA MAGUFULI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wasaidizi wake wakimuombea Mama yake Mzazi
Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam. Desemba 30, 2018.
Bibi Suzana
Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu
kwa takribani miezi mitatu sasa.

PICHA
NA IKULU
Comments
Post a Comment