Naibu
Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza na abiria
katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, wakati
wa ziara ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha
abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Naibu
Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa elimu kwa abiria
katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, wakati
wa ziara ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha
abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Naibu
Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Ramadhani Kailima, akimsikiliza Mkaguzi wa magari kutoka
Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Ibrahim Samwix (kulia), wakati
wa ziara yake ya ukaguzi wa mabasi
yanayosafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali
nchini.
Naibu Katibu Mkuu wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(kulia),
akishuhudia ukaguzi wa magari katika Kituo Kikuu cha
Mabasi Ubungo, wakati wa ziara ya ukaguzi
wa mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoa
mbalimbali nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment