Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) akipewa maelezo
kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, Ignas Gara (katikati) mara
baada ya kuwasili katika hifadhi ya kisiwa hicho ambapo ambapo aliweza
kuzungumza na watumishi wa Hifadhi hiyo iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.
Kushoto ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akiwa pamoja na Mkuu wa
Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiangalia baadhi ya picha kwenye simu ya
Sokwe wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa
ya kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu
Ng’ondya.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (katikati) akiwa pamoja
na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiwa kwenye boti wakivuka
wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa ya
kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akisalimiana na baadhi
ya watumishi wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika
hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akisaini kitabu cha
wageni wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa
ya kisiwa cha Rubondo.
(PICHA
ZOTE NA LUSUNGU HELELA-WMU)
No comments:
Post a Comment