Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama juisi aina ya Sayona Fruttis wakati
alipotembelea kiwanda cha Sayona kilichopo eneo la Chalinmze Mboga wilayani
Bagamoyo, Desemba 7, 2018. Wapili kushoto ni Mwenyekiti na Mkurugenzi
Mtendaji wa Makapuni ya Motisun, Subash Patel na Kulia ni Naibu Waziri wa
Kilimo, Omari Mgumba. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kaitazama juisi aina ya Sayona Fruttis wakati
alipotembelea kiwanda cha kutengeneza juisi ya matunda cha Sayona
kilichopo eneo la Chalinze Mboga wilayani Bagamoyo, Desemba 7, 2018.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi, Evarest Ndikilo na wapili
kushoto ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Makapuni ya Motisun,
Subash Patel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha kutengeneza juisi ya matunda
cha Sayona kilichopo Chalinze Mboga wilayani Bagamoyo, Desemba 7, 2018,
Wapili kushoto ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya
Motisun, Subash Patel na watatu kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo,
Omari Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment