Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji kati ya
Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab Contractors/El Sewedy Electric pamoja na
Waakilishi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji kati ya
Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab Contractors/El Sewedy Electric kushoto pamoja
na Mkurugenzi Mkuu wa Waakilishi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco Dkt. Tito
Mwinuka wapili kutoka kulia akifatiwa na Mwanasheria wa Shirika hilo Isdori
Nkindi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar
es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo na kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly, Waziri wa Nishati Medard Kalemani
wakipiga makofi wakati waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab Contractors/El Sewedy
Electric kushoto pamoja na Waakilishi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco
wakionesha vitabu vya mikataba hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly akizungumza na wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada
ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme
megawati 2100 katika mto Rufiji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje
ya nchi mara baada ya kushuhudia tukio la kihistoria la utiaji saini Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji ambao
utagharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly kabla ya tukio la la kihistoria la utiaji
saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto
Rufiji ambao utagharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Waziri Mkuu wa
Misri Mostafa Madbouly pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha picha ya mlima Kilimanjaro Waziri Mkuu wa
Misri Mostafa Madbouly kabla ya kumkabidhi zawadi ya picha hio.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
wakati wakielekea kwenye Ukumbi wa Kikwete Hall kwa ajili ya hafla ya utiaji
saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto
Rufiji ambao utagharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakati wakielekea
kwenye Ukumbi wa Kikwete Hall kwa ajili ya hafla ya utiaji saini Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji ambao
utagharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally.
Wengine katika picha mstari wa nyuma ni Mawaziri kutoka Tanzania na
Misri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Aboubakary Zubeiry mara baada ya hafla ya utiaji saini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally
pamoja na Viongozi mbalimbali wa Dini.
Askofu
Josephat Gwajima akisali kabla ya hafla hio kuanza. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment