Jeshi la Ulinzi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini
Madaktari wa Binadamu na fani nyingine za Tiba.
Nafasi hizo zinatolewa ili kuongeza idadi ya wataalamu wa tiba watakaotoa
huduma za afya katika Hospitali zetu, vituo vya afya na Zahanati kulingana na
mahitaji ya sasa na siku zijazo.
Watakao andikishwa Jeshini ni wale wenye taaluma zifatazo:-
a.
Daktari Bingwa wa Meno – Dental Surgeon
b.
Daktari Bingwa –
Specialist Neurasurgeon
c.
Mkemia (Chemisist)
d.
Mteknolojia Msaidizi (Maabara) – Assistant Laboratory Technician.
e.
Tabibu msaidizi – Assistant Clinical officer.
f.
Katibu wa Hospitali –
g.
Msaidizi wa kumbukumbu. – Medical Records (Certificate)
h.
Daktari – Medical
Doctors.
j.
Afisa Muuguzi – Registered Nursing Officer.
k.
Fundi sanifu vifaa tiba – Bio Medical Engineer.
l. Tabibu
– Clinical Assistant (Certificate).
m. Mteknolojia msaidizi –
Laboratory Assistant (Certificate)
n.
Mfamasia – Pharmacist (Degree)
o.
Mtoa tiba kwa vitendo – Physiotherapist (Diploma)
p.
Afisa Muuguzi msaidizi – Assistant Nursing officer
Sifa za
kuandikishwa Jeshini ni zifuatazo:-
a.
Awe raia wa Tanzania
kwa kuzaliwa.
b.
Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 28 isipokuwa specialist
c.
Awe na afya njema ya mwili na akili timamu.
d.
Awe mwenye tabia njema na nidhamu nzuri
e.
Awe hajawahi kupatikana na hatia ya makosa ya jinai Mahakamani na kufungwa
jela.
f.
Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate), vyeti vya shule
(Academic & School Leaving Certificates) na vyeti vya Chuo (Transcript
& Academic Certificates).
g.
Kama ni Daktari awe amemaliza mafunzo kwa
vitendo (Internship) na kutunukiwa vyeti pamoja na kusajiliwa na Bodi.
h.
Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi Maalumu
cha Kuzuia Magendo.
Wenye sifa tajwa na kuhitaji kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania waripoti katika Kambi ya Jenerali
Abdallah Twalipo, Mgulani Dar es Salaam tarehe 17,
Desemba, 2018 kuanzia saa 1.00 Asubuhi kwa usaili.
Waombaji wafike
na vyeti halisi (Original Certificates) vya kuzaliwa na masomo pia wajitegemee
kwa usafiri, chakula na malazi.
Aidha,
watakaochaguliwa na kuandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali ya Jeshi
na yatakayo waendeleza katika taaluma zao.
Wakiwa Jeshini majukumu
watakayopatiwa ni yale yatakayowapa changamoto na fursa nzuri za kutumia
taaluma zao.

vitendo (Internship)
na kutunukiwa vyeti pamoja na kusajiliwa na Bodi
h.
Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi Maalumu
cha Kuzuia Magendo.
Wenye sifa tajwa na kuhitaji kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania waripoti katika Kambi ya Jenerali
Abdallah Twalipo, Mgulani Dar es Salaam tarehe 17,
Desemba, 2018 kuanzia saa 1.00 Asubuhi kwa usaili.
Waombaji wafike
na vyeti halisi (Original Certificates) vya kuzaliwa na masomo pia wajitegemee
kwa usafiri, chakula na malazi.
Aidha,
watakaochaguliwa na kuandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali ya Jeshi
na yatakayo waendeleza katika taaluma zao.
Wakiwa Jeshini majukumu
watakayopatiwa ni yale yatakayowapa changamoto na fursa nzuri za kutumia
taaluma zao.
No comments:
Post a Comment