RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUAZA ZIARA YAKE YA KISERIKALI LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Chakechake Kisiwani Pemba leo jioni, kwa ajili ya Ziara yake ya Kiserikali inayotarajiwa kuaza kesho kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, leo jioni  kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali kwa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba inayotarajiwa kuaza kesho.(Picha na Ikulu)

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AUNGURUMA PWANI ASEMA DHAMIRA KUBWA YA CCM NI KUWAHUDUMIA WANANCHI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2016 HAYA HAPA

HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017.

WAZEE WAASWA KUWA MBELE KATIKA KUHAMASISHA USHIRIKI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA