Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi gari maalumu litakalotumika
kama Mahakama inayotembea akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa
Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, , Mwakilishi mkazi wa Benki ya
Dunia nchini Bi. Bella Bird na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Sophia
Mjema wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi
wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya gari maalumu litakalotumika kama
Mahakama inayotembea baada ya kuizindua rasmi akiwa na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa
Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji
Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum
Mbarouk, Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird, wakati
wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Anayetoa maelekezo ni Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA wa Mahakama ya Tanzania Bw. Enock
Kalege na Kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashauri Mahakama ya
Tanzania Mhe. Eva Nkya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akitelemka kutoka kwenye gari maalumu litakalotumika
kama Mahakama inayotembea baada ya kulizindua rasmi kwenye maadhimisho ya Siku
ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.
Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma wakati alipowasili
kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria
nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA wa Mahakama ya
Tanzania Bw. Enock Kalegebaada ya kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektroniki wa
Kuratibu Mashauri (DSDS ll) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria
nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Majaji Wakuu Wastaafu Mhe. Augustino
ramadhani na Mhe. Mohamed Chande Othmana kabla ya kupiga nao picha ya
kumbukumbu kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6,
2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika Job
Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi na Jaji wa
Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk baada ya kuhudhuria
kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment