WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa
akizungumza baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake leo.

...........................
WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa ameagiza
taasisi zote za serikali
zifungiwe mita za luku ili ziweze kwenda na matumizi mazuri ya maji ili
kupunguza changamoto za kutokulipa kwa wakati bili za majina kujikuta
zikiingia kwenye madeni makubwa.
Proffesa Mbarawa aliyasema hayo leo wakati wa
ziara yake mkoani Tanga ambapo alisema
mita za luku litasaidia kuweza kuondokana na kasumba za
watu kumwaga maji hivyo na hivyo kuweza kusimamia matumizi ya maji kwenye maeneo yao.
“Ndugu zangu mita za luku msiwapelee wateja sugu bali wapelekeeni hata wale watu wengine ambao wapo kwenye maeneo mbalimbali lakini pia Jeshi la Polisi sio wabaya wanalipa bili lakini wawekeeni mita za luko isipokuwa ndani ya kituo cha Polisi msiweke”Alisema Waziri Mbarawa.
“Lakini hatupelekei wateja sugu tunakosea kwa sababu hii inaweza kupelekwa kukote kwa sababu inaweza kusimamia matumizi ya maji ndani
ya mwezi husika…..nirudir Jeshi la Polisi sio wabaya wanalipa bili zao lakini wawekeni mita sio mwanzo maeneo mengi Mtwara,,Iringa nao
wanatumia kwenye kota zao wawekeeni mita hizo ”Alisema Waziri Mbarawa.
Aidha pia mita hizo la luku zitaweza kusaidia kuweka matumizi mazuri ya maji na mambo ya kuanza kulalamika hawalipi tuwafungie traasisi zio
nyingi mita moja laki mbili ukchukua wateja 20 karibuni milioni nne na mapato yatakayopatikana ni makubwa.
Hata hivyo alsema serikali imejipanga kuhakikisha changamoto ya huduma ya maji hapa nchini inatatuliwa ili wananweza waweze kunufaika na
huduma hiyo muhimu kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo.
Katika ziara hiyo Waziri Mbarawa alitembelea maeneo mbalimbali ikiwemokwenye chanzo cha Maji cha Mabayani,Mtambo wa kusafirishia maji eneo la Mowe na eneo la Horohoro wilayani Mkinga.

WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa kushoto akimsikiliza kwa Katibu Tawala wa
Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakati akielezea hali ya upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake.
Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakati akielezea hali ya upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake.
WAZIRI wa Maji Proffesa Makame Mbarawa
kulia akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kushoto ni
Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Geofrey Hilly

No comments:
Post a Comment