Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola
(kushoto) akimsalimia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Thobias
Sedoyeka, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman
Karume, mjini Unguja, Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Lugola anatarajia
kufanya mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Komba Wapya, mjini humo, leo, na
atafungua Mkutano wa Kuzuia Biashara Haramu ya Kusafirisha Binadamu,
utakayofanyika katika Hoteli ya Ngalawa, mjini humo, kesho.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola
(kushoto) akimsalimia Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Ali Nassor, wakati alipokuwa
anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja,
Zanzibar, kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Lugola anatarajia kufanya mkutano wa
hadhara katika Viwanja vya Komba Wapya, mjini humo, leo, na atafungua Mkutano
wa Kuzuia Biashara Haramu ya Kusafirisha Binadamu, utakayofanyika katika Hoteli
ya Ngalawa, mjini humo, kesho.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
No comments:
Post a Comment