Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
wa Morocco, Mhe. Nasser Bourita, baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa
mkutano.
Dkt. Mnyepe amemwakilisha Mhe.
Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika kuhusu maamuzi ya Umoja wa Afrika (AU) kuunga mkono jitihada za usuluhishi wa mgogoro wa eneo la Sahara Magharibi kati ya Morocco na Saharawi uliofanyika jijini Marrakech, Morocco tarehe 25 Machi, 2019.

Katibu
Mkuu, wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mnyepe akifuatilia
mazungumzo na michango ya wajumbe kutoka nchi mbalimbali wakati wa mkutano
huo.
mazungumzo na michango ya wajumbe kutoka nchi mbalimbali wakati wa mkutano
huo.
Katibu
Mkuu, Dkt. Mnyepe wa tatu kutoka kushoto, mstari wa nyuma, akiwa katika picha ya pamoja ya Mawaziri na Wawakilishi wa Mawaziri walioshiriki mkutano huo.
No comments:
Post a Comment