MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO MACHI 12, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019, kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai.
 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Bungeni kuhudhuria kikao cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.