WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TANESCO WAFIKA RUKWA KUKAGUA MIRADI YA UMEME

Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa
Rukwa, Halfan 
Seba (kulia), akitoa maelezo  kuhusu
uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.

 Meneja wa Shirika la umeme, TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kushoto), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi
hiyo, Balozi Dkt. James Nzagi, (mwenye shati ya mabaka) mara baada ya kutembelea kituo  cha kupooza
umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.

Meneja wa Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kulia), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo  cha kupooza umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.

Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa
Rukwa, Halfan 
Seba (kulia), akitoa maelezo  kuhusu
uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo
mjini Sumbawanga.

Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (TANESCO), Balozi Dkt. James Nzagi, akiambatana na wajumbe wengine wa bodi hiyo kukagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kujengwa kwa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa mkondo KV 411 lililopo katika kata ya Malangali mjini Sumbawanga Machi 11, 2019 wakati wa ziara ya viongozi wa bodi hiyo mkoani hapa kukagua miundombinu ya Shirika ikiwa ni pamoja na kuangalia hali ya upatikanaji wa umeme.

Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (katikati), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga
wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.

Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (kulia), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga
wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.