Saturday, July 20, 2019

PROFESA NDALICHAKO AGOMEA UJENZI WA MAJENGO YA WADHIBITI UBORA KIGOMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akikagua ujenzi wa ofisi za Wadhibiti Ubora wa Shule zinazojengwa katika Wilaya Kigoma ambapo hakuridhishwa na ujenzi ulio chini ya kiwango.

 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akikagua matofali yaliyo chini ya kiwango ambayo yanatumika katika ujenzi wa ofisi za Wathibiti Ubora wa Shule zinazojengwa katika Wilaya Kigoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akikajaribu kugonga matofali yanatumika katika ujenzi wa ofisi za Wathibiti Ubora wa Shule zinazojengwa katika Wilaya Kigoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akijadiliana jambo na viongozi wa wilaya na watumishi mara baada ya kumaliza kukagua ujenzi wa ofisi za Wathibiti Ubora wa Shule zinazojengwa katika Wilaya Kigoma.

No comments:

Post a Comment