Thursday, July 18, 2019

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA VYUO VIKUU TANZANIA.

Waziri mkuu Mh kassim makaliwa akifungua maonesho ya tumu ya vyuo vikuu vya Tanzania Tanzania commission for universities (TCU) ambayo yanashirukisha vyuo mbalimbali vya ndani na  nje ya nchi.

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa pstptb bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi, Godfred Mbanyi akimpa maelezo waziri mkuu kassim majaliwa alipokuwa anatembelea mabanda ktk maonesho yanayofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja.

No comments:

Post a Comment