Wednesday, July 31, 2019

MWENGE WA UHURU 2019, WAKAGUA MIRADI 13 HALMASHAURI YA BAGAMOYO

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing, tree, child and outdoor
Mwenge wa uhuru 2019, umehitimisha mbio zake katika Halmashauri ya Bagamoyo, kwa kutembelea miradi 13 na kuzindua miradi 2 ambayo ina thamani ya shilingi Bilioni 4.7
Image may contain: 13 people, including Subira Mgalu, people standing and outdoor
Image may contain: 5 people, people smiling, people standing and outdoor

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya (KUU), Bi Zainabu Mfaume Kawawa, akiongoza wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, (KUU) wabunge wa  Bagamoyo, Chalinze na viti maalum, wakurugenzi wa halmashauri, watumishi wa serikali, viongozi wa CCM pamoja na wananchi kwa ujumla wakati wa kuaga Mwenge wa Uhuru 2019 mara baada ya kumaliza mbio zake halmashauri ya Bagamoyo.
Image may contain: one or more people, crowd, sky and outdoor 
Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru 2019 kati ya Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Zainabu Kawawa na Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama.

No comments:

Post a Comment