Saturday, August 27, 2016

RC. MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI OFISI YA BAKWATA MAKAO MAKUU.



Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, katikati mwenye  kanzu nyeupe akipokea dua mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ofisi ya BAKWATA makao makuu.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda  kulia  akimkabidhi  Ramani  ya ofisi ya BAKWATA sheikh mkuu wa Tanzania, Mufti Aboubakari Zubeir,  kushoto




Picha ya  jengo  la ofisi  za BAKWATA makao  makuu litakavyokuwa
 

No comments:

Post a Comment