JESHI LA POLISI MIKOA MBALIMBALI TANZANIA LAFANYA MAZOEZI YA UTAYARI WA KUKABILIANA NA UHALIFU NA WAHALIFU

Askari wa vikosi  vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa  na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari  wa  kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
 

Askari wa kikosi  cha kutuliza ghasia  mkoa wa Lindi  wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari  kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri  za  Jeshi  la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi.
 

Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimba hapa nchini Tanzania.
 

Askari Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali wakati wa mazoezi ya utayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu hapa nchini Tanzania (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.