JESHI
LA POLISI NCHINI LINAWAJULISHA KUWA, TANZANIA INATARAJIA KUKABIDHIWA
NAFASI YA UENYEKITI WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SARPCCO) MWAKA HUU.
ZOEZI LA MAKABIDHIANO LITAFANYIKA HUKO MKOANI ARUSHA MNAMO TAREHE 14 – 16 SEPTEMBA, 2016 NA KUSHUHUDIWA NA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KANDA YA KUSINI MWA AFRIKA.
MKUTANO HUO MAALUM UNAJULIKANA KAMA“SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING”.

IMETOLEWA NA OFISI YA:
INSPEKTA
JENERALI WA POLISI
MAKAO
MAKUU YA POLISI.
No comments:
Post a Comment