Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani nchini ambae pia ni Naibu Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza
wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za
Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo
la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza
ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(katikati), katika kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati
wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi
wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi
Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu
Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama
Barabarani , Mohamed Mpinga. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa
wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ASP Deus Sokoni, akizungumza wakati
wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za
Barabarani, ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo
la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.(Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mjumbe
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Henry Bantu, akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani
, ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao
kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment