Tuesday, August 23, 2016

KIKAO CHA LOWASA CHAZUIWA NA POLISI MKOANI MBEYA.

Kikao cha ndani cha Mh.Edward Lowassa na wanachama wa Chadema wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kimezuiwa kufanyika na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo.
 

Kikao cha ndani cha Mh.Edward Lowassa na wanachama wa Chadema wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kimezuiwa kufanyika na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo.
 

Edwadi Lowasa  akiingia kwenye gari lake tayarikwa kuondoka mara  baada yakuzuiliwa kufanya kikao cha   ndani na wanachama wa  CHADEMA wilayani Mbarali, mkoani Mbeya hii leo.

No comments:

Post a Comment