SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA BUNGE LA CAMEROON BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Aprili 05, 2019.  Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka (katikati) alipomtembelea leo Aprili 05, 2019.  Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Mhe. Maria Kangoye

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimpatia zawadi ya Shuka la Kimasai Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Aprili 05, 2019.  Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa taarifa za shughuli Mbali mbali zilizofanywa kwa mwaka 2018 na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea leo Aprili 05, 2019. Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimataifa (CPA – INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Tanzania, Mhe. Maria Kangoye, baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Aprili 05, 2019. Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.