Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masasi mara
baada ya kufungua kituo cha Afya cha Mbonde kilichopo Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja
na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa
Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua moja ya Wodi ya Wazazi katika Kituo cha
Afya cha Mbonde mara baada ya kukifungua Masasi mkoani Mtwara.
Sehemu ya Wodi ya Wazazi katika Kituo cha
Afya cha Mbonde mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja
na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa
Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua chumba cha upasuaji katika wodi ya Wazazi
katika Kituo cha Afya cha Mbonde Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara akiangalia mashine ya kutoa dawa ya usingizi kkwa wagonjwa katika chumba cha upasuaji kwa wa mama wajawazito.
Sehemu ya wakazi wa Masasi wakisikiliza hotuba
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
wakati akihutubia mara baada ya kufungua kituo cha afya cha Mbonde.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungua mkono wananchi hawaonekani
pichani wakati akiondoka eneo la kituo cha Afya cha Mbonde.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo,
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kituo cha
Afya cha Mbonde mara baada ya kukifungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Mikangaula iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara wakati akielekea Mangaka
kwenda kufungua barabara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Nanyumbu mara
baada ya kuwasili kutoka Masasi kwa ajili ya kufungua barabara ya
Tunduru-Mangaka-Mtambaswala yenye jumla ya km202.5.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment