RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21st CENTURY FOOD AND PACKAGING LTD JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21 st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21 st CenturyFood and Packaging Mohamed Dewji mara baada yauzinduzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21 st Century Food and Packaging Mohamed Dewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuliakizungumza na wananchi mara baada ya kufunguakiwanda hicho jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.