Taarifa
kutoka Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kuhusu ajali ya kuungua moto kutokana na
kulipuka kwa gari la mafuta mkoani humo.
Mpaka
sasa watu 62 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 70 kujeruhiwa.
Aidha,
taarifa hiyo imesema majeruhi 39 kati
yao hali zao ni mbaya hivyo wanakimbizwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
kwaajili ya matibabu zaidi.
Maiti
zote 62 zimehidhiwa hospitali ya mkoa wa Morogoro kwaajili ua utambuzi na ndugu
zao huku nyingine kati ya hizo hali zao ni mbaya sana kiasi ambacho haziwezi
kutambulika.
No comments:
Post a Comment