WAZIRI MKUU, RAIS MSTAAFU JK. WATEMBELEA MAONESHO YA MADINI NA UWEKEZAJI LINDI.

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakitazama madini mbalimbali ya metali wakati walipotembelea banda la Kampuni ya Mineral Access Tanzania Limited inayojihusisha na uchimbaji na ununuzi wa madini, katika maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. Kushoto ni Waziri wa madini, Doto Biteko na wa nne kushoto ni Mke wa Rais wa Awmu ya Nne Mama Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya chuma  wakati walipotembelea banda la   Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya Bunyu wakati walipotembelea banda la Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. Kushoto ni Waziri wa Madini, Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog

TANZANIA KUPATA DOLA MILIONI 41 ZA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI

BAGAMOYO: MJI WA KIHISTORIA UNAONGOJEA MAPINDUZI MAKUBWA YA KIUCHUMI KUPITIA BANDARI MPYA

KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA MJI BAGAMOYO NANENANE

SAMIA URGES FASTER INFRASTRUCTURE DELIVERY ACROSS AFRICA.

VERONICA MREMA WA TANZANIA AINGIA SITA BORA TUZO ZA ISU ELIHLE 2026 AFRIKA